tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Wadau naomba mnijuze hospital nzuri ambayo naweza pata matibabu ya uhakika. Ni zaidi ya mwaka sasa nasumbulia na malaria na sijawahi pata nafuu hata siku moja. Kwa sasa nimepata offer ya kutafuta mahali pa uhakika pa kutibiwa. Naomba msaada wenu