msaada wakuu!

malickhero

Member
Jun 9, 2012
16
2
mashine yangu ni hp ina ram 1gb procsa 3 but nikiweka window7 sauti ni tatzo! so naomben msaada wenu wakubwa
 
yaani I.will never buy the hp shit hata mm niko nalo hapa hata mwezi.hujapita tayari limekuwa formated
 
kazi rahisi sana ni hivi , tembelea https://www.support.hp.com alafu ikifunguka chagua watakuambia kwmb ingiza product number or model ya hiyo machine yko, ukishaingiza itakuja option ya drivers za audio, video, networks etc, kwa tatzo lako utachagua AUDIO DRIVER utaDOWNLOAD then ukimaliza kuDOWNLOAD utaINSTALL..then ili kuhakikisha kama umeinstall vzr ...right click MY COMPUTER then go to PROPERTIES ikifunguka , nenda kwnye DEVICE MANAGER kisha angalia kama unasema utakuta alama za njano uzisoma , driver ambazo huwa zinamiss siku zote zinakuwa na portion ya njano , so kama utakuta kitu kimeandikwa Audio driver alafu maandishi yake yakawa na rangi ya njano ujue hapo Driver ya sound imemiss.,Ukifanikisha zoezi lako nijulishe
 
nasahukuru wakubwa nimefanya kama mlivyonielekeza na driver haioneshi kufail bt sauti hakuna pia inaonesha kuwa "no speakers or headphones are plugged in".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom