Msaada wa vitambaa vya sofa

Oct 12, 2014
76
45
Habari,

Naomba msaada wa kufahamishwa wapi naweza pata vitambaa vizuri vya sofa vinavyodumu kwa muda mrefu na bei yake.

Nitashukuru sana kwa msaada wenu.

Ahsante
 
Hujasema ulipo, utasaidiwaje sasa...?
Btw nenda Kariakoo, huko utapata kitambaa cha hadi mita moja moja 50k kulingana na ubora unaoutaka!
Tembelea maduka ya Woisso
 
Back
Top Bottom