Msaada wa tafsiri ya maneno ya fani ya saikolojia

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Wana jamvi naomba kujulishwa maneno ya kiswahili ya Conscious mind na sub- conscious mind
 
Kupata maana halisi ya maneno "Concious Mind" na sub-concious" kama yalivyotumiwa na Freud. Concious Mind(mindful individual) enye kujitambua hasa ktk maamuzi mbalimbali. Sub-concious(complex mind) enye maamuzi ya kati, yaana kwa mfano kuna vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wako japo unavijua ila hauvipi kipao mbele. Kuna Unconcious(out of mind) vitu usivovijua na wala hauna ufahamu navyo. kwa kifup kuna concious mind(what you know and you do) =<sub-concious mind(what you know but you do not do it) < Unconcious mind(what you real don't know)
 
Mkuu nashukuru kwa msaada wako japo nilitamani kufahamu kama kuna maneno ya kiswahili ya moja kwa moja yanayowakilishi hizi hali mbili. nilichojifunza ni kwamba ni kwa maelezo ndiyo unaweza kutafasiri hali hizi mbili. shukrani mkuu kwa mchango wako
 
Back
Top Bottom