Msaada wa tafsiri ya 'courtesy visit'

MKONGORO

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
325
263
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku ya kujenga taifa letu!

Naombeni maana ya maneno haya "Courtesy visit"

Natanguliza shukrani!
 
Wakuu heshima kwenu kwa michango yenu imenisaidia kuuelewa ukurasa mzima maana maneno hayo yametumiwa zaidi ya mara 7 kiasi cha kunipoteza kabisa.
 
Pia wakati mwingine neno
"courtesy call"
huweza kutumika...ila maana inabaki ile ile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom