Naunga mkono hojaPole na mitihani ya maisha unacho takiwa kufanya weka namba ya malipo, kisha subiri wenye mioyo safi watakupa msaada hapa.
Usisahau kuweka ID yako ya NIDA ama utambulisho wako ili wakutambie kama ni wewe kweli.
Kutoa ni moyo sio utajiri.
Kuregeza tena jmn. Kiufupi. Amefunga kufuri wote tukiwepo. Na mdg wang akiwepo ila kulingana na taharuki ile wala hakukumbuka kama ana Id ya chuo ndan, tulivyofika kwa rafk yng huku ndo akakumbuka wana pepa.Huyo mwenye nyumba wako ni ccm?Kiukweli nimeguswa ila wakati nasubiri utaje account ya benki nimejiuliza maswali mawili matatu.
1: Mwenye nyumba wako ulimuokota wapi?Maana anaonyesha ni M/nyumba flani asiye na busara,kwani ID ndio imepangisha hicho chumba!?
2: Wewe ni manzi,yaani Umeshindwa mlegezea jicho mwenye house wako akutolee ID ya dogo?
3: Ni kwako Sasa yote Umeshindwa kwanii usimdanganye huyo mbuzi mwenzio kuwa Kuna kibubu kipo uvunguni akuruhusu ukitoe,upate upenyo wa kutoa ID!?
Mwisho na Sio mwisho Kwa umuhimu,vyuo vingi nchini kama sio vyote vishapiga UE,Sasa huyo mdogo wako anasoma chuo Cha cherehani?
Usisahau kuweka namba ya kutumaa.
NO YA TIGOPESAPole na mitihani ya maisha unacho takiwa kufanya weka namba ya malipo, kisha subiri wenye mioyo safi watakupa msaada hapa.
Usisahau kuweka ID yako ya NIDA ama utambulisho wako ili wakutambie kama ni wewe kweli.
Kutoa ni moyo sio utajiri.
Bado haujafanikiwa?Sawa