gillard
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 227
- 165
Habari zenu wana JF,tafadhali ndugu zangu naombeni msaada wa mawazo kwa ajili ya mdogo wangu ambaye amemaliza kidato cha sita mwaka huu kwa bahati mbaya matokeo yake si mazuri,amepata div.III ya point 13 matokeo yake ni kama yafuatayo:-
G/STUDIES-F,HISTORY-E,GEOGRAPHY-D,DIVINITY-F,BAM-F,ECONOMICS-D
naomba ushauri wenu,je inawezekana akapata udahili katika vyuo vya serikali?
pia kuna uwezekano wa yeye kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu?
nashukuru sana,karibuni