pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Habari ndugu zangu hivi juzi nimesikia majina ya walioomba nafasi ya afisa tarafa yametoka mimi nipo kijijin na ninatumia cm naomba msaada wenu ndugu kwa roho safi mniwekee majina ili kama nipo nijipange jaman plz