Msaada wa kutibu Epilepsy

Rajab_Omar

JF-Expert Member
May 15, 2016
16,457
27,104
Wakuu habari zenu?

Kwakweli ninae mdogo wangu anasumbuliwa sana na ugonjwa wa epilepsy, na tumejitahidi sana hospital ila kiukweli haijakubali. Kwa sasa tumeamua kukomaa tu na Phenobarbiton ambayo kidogo inaonesha kumpa unafuu.

Kwahiyo naomba msaada kwenu jinsi ya kumsaidia huyu dogo ili apone.Hata wale wanaofahamu kuhusu diet au herbal medicine za kuweza kutibu tatizo pia naomba msaada.

Shukrani.
 
Mfalme Ngwaba, huo ni ugonjwa gani?namtakia nafuu ya haraka dogo mwenyezi Mungu amuafu.
 
jaribu tegretal cr 200 ni aina ingine ya phenebabiton ila dozi yake inategemea na level ya ugonjwa
 
Wakuu habari zenu?

Kwakweli ninae mdogo wangu anasumbuliwa sana na ugonjwa wa epilepsy, na tumejitahidi sana hospital ila kiukweli haijakubali. Kwa sasa tumeamua kukomaa tu na Phenobarbiton ambayo kidogo inaonesha kumpa unafuu.

Kwahiyo naomba msaada kwenu jinsi ya kumsaidia huyu dogo ili apone.Hata wale wanaofahamu kuhusu diet au herbal medicine za kuweza kutibu tatizo pia naomba msaada.

Shukrani.
Mkuu kuna vidonge anapaswa kunywa kimoja kila Siku kwa muda wa miaka 2.kuna mgonjwa wangu aliandikiwa hivyo vidonge India tatizo kwishnei kabisa.kwa matibabu ya hovyo bongo kila mwezi utakua unamlaza hospital
 
Guys huyu mtu anatatizo, what is this "Mkuu kuna vidonge anapaswa kunywa kimoja kila Siku kwa muda wa miaka 2". Kama ni hivyo vidonge sema ni vidonge gani ajue ili imsaidie. Brother myself am pharmacist, so nataka nijue kama ameshawahi kutumia carbamazepine because this is the drug of choice, then ili nijue umpe dawa ipi itakayomsaidia
 
Mkuu kuna vidonge anapaswa kunywa kimoja kila Siku kwa muda wa miaka 2.kuna mgonjwa wangu aliandikiwa hivyo vidonge India tatizo kwishnei kabisa.kwa matibabu ya hovyo bongo kila mwezi utakua unamlaza hospital
Vidonge Gani Mkuu?
 
Nna mdogo wangu ana hili tatizo la epilepsy. Limemsumbua kwa miaka mingi, zaidi ya 10. Hata kusoma kasoma kwa shida. Kuna daktari alikuja kumpa hizo phenobarbitone tatizo likapungua angalau akaweza kumalizia shule. Sasa alikuja kwangu nikae nae nkaona tatizo bado lipo japo anatumia hizo dawa kila siku, na anapopata tatizo anakua kama anahallucinate. Tulipogoogle hiyo dawa tukaona hiyo dawa inachangia hizo kitu pamoja na kushindwa kulala. Tukamwambia aache kuzitumia. It's now more than a month hajapata tatizo. Najipanga kumpeleka kwa daktari atakaye saidia hili jambo maana sina uhakika kama limeisha lakini sijui niende wapi. Ushauri kwa wanaojua utasaidia sana.
 
Wakuu habari zenu?

Kwakweli ninae mdogo wangu anasumbuliwa sana na ugonjwa wa epilepsy, na tumejitahidi sana hospital ila kiukweli haijakubali. Kwa sasa tumeamua kukomaa tu na Phenobarbiton ambayo kidogo inaonesha kumpa unafuu.

Kwahiyo naomba msaada kwenu jinsi ya kumsaidia huyu dogo ili apone.Hata wale wanaofahamu kuhusu diet au herbal medicine za kuweza kutibu tatizo pia naomba msaada.

Shukrani.
Dawa unazotumia ikiw abado hajapona nitafute mimi nipate kumtibu na atapona inshallah.Ukihitaji matibabu yangu unaweza kuniandikai barua ya pepe Email yangu fewgoodman@hotmai.com au waweza kuni Add kwenye What'S App yako au Viber yako kw ahii namba +90-534-450-81-69 tupate kuzungumza live auguwe pole mgonjwa wako.
 
Sawa Mkuu
 
Wakuu habari zenu?

Kwakweli ninae mdogo wangu anasumbuliwa sana na ugonjwa wa epilepsy, na tumejitahidi sana hospital ila kiukweli haijakubali. Kwa sasa tumeamua kukomaa tu na Phenobarbiton ambayo kidogo inaonesha kumpa unafuu.

Kwahiyo naomba msaada kwenu jinsi ya kumsaidia huyu dogo ili apone.Hata wale wanaofahamu kuhusu diet au herbal medicine za kuweza kutibu tatizo pia naomba msaada.

Shukrani.
Huo hauna tiba ila kuna baadhi ya dawa za kutuliza tuu lakini inategemea na aina ya kifafa, kingine ni mtu kujua dalili au vitu vinavyoweza mfanya akapata kifafa, wengine uwa kinakuja bila sababu yoyote wengine panakuwa na kitu labda akifurahi au kukasirika nk nk. Kubwa ni kumkubali tuu alivyo na kumwandalia maisha yenye mapenzi ya ndugu na jamaa watakaokuwa naye muda wote incase akiwahitaji
 
Huyu Mara Zote Humtokezea Wakati Akiwa Amelala, Ndio Hapo Hustuka Ghafla na Kujaribu Kuinuka na Ndio hapo Huanza Hile Epileptic Seizure yenyewe.
Kwa Ufupi Ni Kwamba Mpaka Awe Amelala na Kustuka Kutoka Usingizini tu.
 
Wakuu habari zenu?

Kwakweli ninae mdogo wangu anasumbuliwa sana na ugonjwa wa epilepsy, na tumejitahidi sana hospital ila kiukweli haijakubali. Kwa sasa tumeamua kukomaa tu na Phenobarbiton ambayo kidogo inaonesha kumpa unafuu.

Kwahiyo naomba msaada kwenu jinsi ya kumsaidia huyu dogo ili apone.Hata wale wanaofahamu kuhusu diet au herbal medicine za kuweza kutibu tatizo pia naomba msaada.

Shukrani.
Naomba nijibu pm
 
Back
Top Bottom