Msaada wa kupata mkopo

Jun 6, 2012
44
33
Habari.
Ninaomba mtu anayeweza kuniconnect namna ya kupata Tshs.6,000,000 mkopo.Kifupi jamaa yangu ana shida na hiyo pesa na ameniomba aniuzie hiyo gari. Mimi nimelipenda hilo gari na natafuta namna ya kulinunua na kulipa kwa mapatano. Ningefurahi kupata ushauri. Uwezo wangu wa kulipa kwa mwezi ni Tshs. 800,000. Yeyote mwenyekuweza kunipa mawazo nitashukuru.
 
Gari aina gani mkuu unayo taka kununua na uyo rafiki yako anataka cash au ....
 
Ukilinunua kwa mkopo hutaweza kumiliki. wekeza taratibu zikifika 6.8m then tembelea www.tradecarview.com hapa utachagua unachotaka. Epuka kununua magari uchwara!
 
Habari.
Ninaomba mtu anayeweza kuniconnect namna ya kupata Tshs.6,000,000 mkopo.Kifupi jamaa yangu ana shida na hiyo pesa na ameniomba aniuzie hiyo gari. Mimi nimelipenda hilo gari na natafuta namna ya kulinunua na kulipa kwa mapatano. Ningefurahi kupata ushauri. Uwezo wangu wa kulipa kwa mwezi ni Tshs. 800,000. Yeyote mwenyekuweza kunipa mawazo nitashukuru.

kama unaishi arusha na unayo dhamana kuna saccos inaitwa WANAMA SACCOS LTD ofisi zao ziko jengo la MEGA COMPELEX mtaa wa BONDENI

wanatoa mkopo wa hadi 20,000,000 kitu muhimu wanachoangalia ni security ya mkopo[dhamana] kama document zako zikiwa vizuri unapata mkopo ndani ya saa 3

utaratibu wote wa jinsi ya kupata mkopo unapatikana kwenye ofisi zao zilizoko katika jengo la MEGA COMPLEX mtaa wa BONDENI Arusha gorofa ya tatu

ofisi yao imeandikwa [WANAMA SACCOS LTD]

ninasisitiza kuwa taarifa zao utazipata kwenye ofisi yao
 
weka no ya hao WANAMA kaka wenye shda na hela tuko wengi sema hatujui kwa kuanzia na dhamana tunazo
 
Kabla cjakupa ushauri nikuulze unanyumba? kama huna nyumba achana na gari yapo mazuri zaidi ya hlo tulia kdogo mambo mazuri yako mbele mkuu.nI MTAZAMO2.
 
Back
Top Bottom