Msaada wa kuondoa promotion sms kwenye TIGO

Parachichi

JF-Expert Member
Jul 22, 2008
510
102
Wadau heshima mbele!mimi ni mteja wa TIGO wa long time!sasa nina tatizo kuna hizi mesej zao za promotion,kuna kijana wangu ali subscribe sasa zimekua kero kila siku zinakuja 5 na kila moja ni Tshs 135+VAT!nimejaribu ku block nimeshindwa!kuwapigia TIGO customer care hawapokei simu!kila nikiweka vijisent vyangu nitume sms za maana zinaliwa na hizo za promo zao!

Tafadhalini sana wadau naomba mwenye ufahamu wa kuzisitisha anijuze!najua kuna wengine humu nao wanahitaji msaada kama wangu!

Na nyie TIGO mnapotoa hizo promo zenu pia mueleweshe jinsi ya ku unsubscribe!

Nawasilisha kwa msaada zaidi
 
Nenda kwenye vituo vya kuhudumia wateja.
Kwa dar es salaam viko mlimani city, ohio, pugu road maeneo ya gerezani na sehemu nyingine
 
kaka pole saaana hii mambo ni ngumu sana hata sisi ambao hatujajiunga zinzkera sana nahisi wewe unakereka zaidi pole bwana ila waone watakusaidia
 
Wadau heshima mbele!mimi ni mteja wa TIGO wa long time!sasa nina tatizo kuna hizi mesej zao za promotion,kuna kijana wangu ali subscribe sasa zimekua kero kila siku zinakuja 5 na kila moja ni Tshs 135+VAT!nimejaribu ku block nimeshindwa!kuwapigia TIGO customer care hawapokei simu!kila nikiweka vijisent vyangu nitume sms za maana zinaliwa na hizo za promo zao!

Tafadhalini sana wadau naomba mwenye ufahamu wa kuzisitisha anijuze!najua kuna wengine humu nao wanahitaji msaada kama wangu!

Na nyie TIGO mnapotoa hizo promo zenu pia mueleweshe jinsi ya ku unsubscribe!

Nawasilisha kwa msaada zaidi
Fuatilia hii thread hapa,
https://www.jamiiforums.com/technology-science-forum/31727-tigo-na-deni-la-sms.html
 
parachichi ni-PM unielekeze amesubscribe kwenye nini, nitakuelekeza, very simple!.

au kwa msaada wa wana JF wote, unatakiwa kujua mfano kuna BIBLIA, angalia inatoka au inaingia kutoka namba gani, say 15999, then note hivyo vitu viwili lete jamvini nitakusaidia, very simple.
 
Asante mzee George!aisee mimi ninayo inatoka kwenye number 15501 inahusu mambo ya BAHATI!naomba umwage hiyo kitu hapa jamvini manake najua ni walalahoi wenzangu wengi wanakereka na hizo msg za hao jamaa.

Nasubiri jibu kwa hamu na shauku kubwa mno,im tired mkuu!

Nawasilisha
 
Hello mdau, kama unataka kujiondoa kwenye huduma hiyo, tuma neno "CANCEL" kwenda kwenye hiyo namba message ilipotoka.
Mfano tuma "CANCEL" kwenda 15513 na kadhalika. Hapo utaondolewa kwenye hiyo huduma..
 
Asante sana mkuu!hatimae nimeweza kujiondoa kwenye huduma hiyo manake baada ya kutuma neno CANCEL na kupeleka kwenye hiyo namba ambapo msg ilikua imetoka nimepata ujumbe unaosomeka hivi 'sasa umejiondoa kwenye huduma' shukrani mkuu kwa kunisaidia kuokoa vijisenti vyangu vilivyokua vinaliwa kila kukicha kwa jumbe zisizo na tija!Bravooooo
 
Asante mzee George!aisee mimi ninayo inatoka kwenye number 15501 inahusu mambo ya BAHATI!naomba umwage hiyo kitu hapa jamvini manake najua ni walalahoi wenzangu wengi wanakereka na hizo msg za hao jamaa.

Nasubiri jibu kwa hamu na shauku kubwa mno,im tired mkuu!

Nawasilisha

andika hivi:

ONDOA BAHATI kisha tuma kwenda 15501 au

ONDOA kisha tuma kwenda 15501 au

STOP kisha tuma kwenda 15501
 
Back
Top Bottom