Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Ndugu zangu, nina mpango wa kununua digital camera nzuri na ya kisasa ambayo itakuwa na ufanisi wa hali ya juu. Ninachoomba kutoka kwenu, mnisaidie kamera ipi ni nzuri na inauzwa bei gani? ili nikienda Dar es salaam au mji wowote mkubwa, niweze kuinunua. Huku kwetu Mpanda hakuna maduka yenye bidhaa hizo.
Wasalaam!
Wasalaam!