Msaada wa kuinstall memory card kwenda kwenye internal storage.

ugido

JF-Expert Member
May 29, 2014
421
104
Habari wana jamii forum kuna uzi niliwahi kusoma hapa kuwa kama simu yako ina internal storage ndogo unaweza kununua sd card or memory card original yenye gb kuanzia kumi na kuendelea na wakaelezea namna ya kuistall ikawa kama internal memory ya simu .naomba kwa anaekumbuka ule uzi nani aliupost ama nikasaidiwa jinsi ya kuistall nimenunua memory card ya gb 32, nataka ni install simu yangu ni sumsung j7 prime original lkn internal memory haitosh nimedownload app nyingi na vijinyombo imejaa msaada tutani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda setting chagua apps then chagua app unayotaka kuiweka kwenye memory card ,ikifungua nenda storage ,utaona sehemu ya change ukichagua hapo itakuja option ya internal au sd card.
Angalizo zinazokubari ni zile ulizodownload tu,zilizokuja na simu hazitakubari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom