Habari wanajukwaa. Mimi ni mwalimu wa sekondari ambaye kwa sasa niko likozo ya masomo. Je kuna utaratibu wa mtu aliyeko masomoni kuweza kuhama kituo cha kazi akiwa bado na likizo ya masomo? Nataka kuhamia wilaya nyingine ila mkoa ule ule.
Ahsanteni.
Ahsanteni.