Msaada wa kuchaguliwa mchumba jamani

Mkuu be careful...uzuri siyo sura! chagua mwenye midomo midogo maana wenye midomo mikubwa huwa na mashine kubwa sana.
Yaani uzuri ni jinsi unavyouelewa wengine hizo mashine kubwa ndo uzuri wenyewe usisahau hata hiyo midomo mikubwa ina kazi yake mkuu..
 
1. wa kwanza kushoto --->>>>> huyu safiiiiiiiiiii 2. wa kwanza kulia 3. wa pili kushoto 4. wa pili kkulia
 
Naomba kujua wanakuwaje sura zao wakilia au wakicheka hebu weka picha hizo kisha tukupe jibu
 
ili nikuchagulie, niletee picha zao wakiwa msibani na wamelia wakaiva !
 
Wa kwanza kushoto ili ufaidi kurembuliwa macho. Wa pili kushoto ili uufaidi mwili utakapokumbatia!
 
Back
Top Bottom