Msaada wa ku-log in Instagram

BENJAY

Member
Aug 18, 2013
56
19
Hi! Kila nikiwa nataka ku log in instagram inaleta ujumbe huo kwenye picha...nimejaribu ku uninstall na ku reinstall bado inaleta huo ujumbe...nini shida hapo jamani
 
Attachments

  • 1470630892512.jpg
    1470630892512.jpg
    13.1 KB · Views: 28
kwa kuangalia hio screenshot unatumia android ya zamani sana pengine 2.3 hio simu yako haina update? android hio ni ngumu kuhimili apps za kisasa hasa ukiwa na ram ya 256mb
 
kwa kuangalia hio screenshot unatumia android ya zamani sana pengine 2.3 hio simu yako haina update? android hio ni ngumu kuhimili apps za kisasa hasa ukiwa na ram ya 256mb

Daah aisee nimechek hapa haina update...ni samsung g Ace GT-S5830i Android version 2.3.6
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom