Msaada Wa Ku Install Silverlight

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
Natamani kuangalia Movies Through Netflix Ila Napata Kikwazo cha Ku install SILVERLIGHT Kila mara naambiwa Installation Failed nikibonyeza info nakutana na hii Message " [h=2]Message ID: 1622[/h]The installation log file could not be written. Verify that the Temp folder exists and that you can write to it.

Nifanyeje?
 
samahni wana JF... Ina maana ukiinstall hiyo silverlight na ukafungua netflix utaweza kuangalia movies online(streaming)?
 
samahni wana JF... Ina maana ukiinstall hiyo silverlight na ukafungua netflix utaweza kuangalia movies online(streaming)?
mkuu inavyoonekana hiyo site haipigi kazi huku kwetu! nimejaribu kuicheki nikaambulia!

[h=2]Sorry, Netflix is not available in your country... yet[/h][h=2]
[/h]
 
unatumia OS gani? una rights za Admin kwenye hiyo Pc?

Ninatumia Windows Vista.
Nimejaribu kubadili Umiliki wa Admin hapo ndipo nimekwama kabisa! Nimefuata steps hizi zote lakini wapi!

Step 1:- Clear temporary files from computer
===============================

a. Click the Start Button, type C:\Windows\Temp and press Enter.

b. Clear the contents of this folder. Some files may not get deleted, which is normal. You may skip them.
c. Click the Start Button, %temp% and press Enter . Clear the contents in this folder as well.
d. Try to install Silverlight, if you are unable to install please proceed with Step 2.

Step 2: Run Microsoft Fixit
=======================
Please use the below given link to run Microsoft Fixit to automatically resolve the issue
How to fix MSI software update registration corruption issues
Please Restart the computer and Open the link to install Silverlight

Get Silverlight | Microsoft Silverlight

If you are still unable to install Silverlight. Let us enable the default admin account and try to install in that account.

Step 3:- Enable the Default Administrator account
===================================

Please follow the below mentioned steps:

Please click on start -> All programs -> Accessories -> Right click command prompt and choose "Run as administrator".

Then type the below given command and hit enter. On successful completion of the command it will give you the message "Command completed successfully".

net user administrator /active:Yes


Step 4: Enable Silverlight Add-on.
========================

a. Click Start, please type "inetcpl.cpl" (without quotation marks) in the Start Search bar and press Enter to open the Internet options window.

b. Please switch to the "Programs" tab, click "Manage Add-ons".

c. At the left side of the window, under "Show", scroll down and select "All add-ons "

d. Highlight the Add-on "Microsoft Silverlight", make sure that the option "Enable" has been selected.

Open the links below and check if you are able to view test videos

[url]http://www.microsoft.com/silverlight/iis-smooth-streaming/demo/#/multi-cam[/URL]

[url]http://www.microsoft.com/silverlight/iis-smooth-streaming/demo/#/live[/URL]



Sincerely,

Nagesh U.G
v-2nag@mssupport.microsoft.com
Microsoft Windows 7 Support Professional
My working hours are 11:00PM to 8:00AM PST, from Tuesday to Saturday and I can be contacted via email at:v-2nag@mssupport.microsoft.com

If you have any feedback about my service, please send an email to v-2amarc@mssupport.microsoft.com. My Manager, Amarnath, would be very happy to receive your comments and suggestions
 
Nimejaribu Kubadilisha Admin LAkini Nimeshindwa Kabisa! Still Need Help!
umeshindwa vipi mkuu? Kwanza hao jamaa nadhani hiyo busness yao ni ya kulipia. na ipo USA tU . Na nadhani pia wana cusutomer service .May be best option wapigie simu au chat nao online wakueleze nn cha kufanya Hiyo link niyo kueweka ukisoma comment za wadau wote na kuzifnyia kazi utavuka. Kuna comment moja mwishoni mwshoni inasema Temp folder inakuwa hiden so inabid uitoe kwenye hidden. google ujue jinsi ya show hidden folder. Kama vipi futa temp folder na recreate upya
 
umeshindwa vipi mkuu? Kwanza hao jamaa nadhani hiyo busness yao ni ya kulipia. na ipo USA tU . Na nadhani pia wana cusutomer service .May be best option wapigie simu au chat nao online wakueleze nn cha kufanya Hiyo link niyo kueweka ukisoma comment za wadau wote na kuzifnyia kazi utavuka. Kuna comment moja mwishoni mwshoni inasema Temp folder inakuwa hiden so inabid uitoe kwenye hidden. google ujue jinsi ya show hidden folder. Kama vipi futa temp folder na recreate upya
Nimekusoma Mkuu. Barikiwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom