Msaada wa ku divert namba ya simu

Fundifundisho

Member
Jan 11, 2011
77
18
Wadau naomba kujuzwa jinsi ya ku divert no ya simu ya mpenzi wangu ili anapowasiliana na mtu nimsikilize.
Sina nia mbaya nataka kupima uaminifu wake.
 
Wadau naomba kujuzwa jinsi ya ku divert no ya simu ya mpenzi wangu ili anapowasiliana na mtu nimsikilize.
Sina nia mbaya nataka kupima uaminifu wake.

Unapo divert haina maana kua akiongea na wewe unaskia ina maana kwamba akiwa hapatikan, yupo busy, kazima simu, hamna network na vitu vinavofanania na hivo simu zake zitaingia kwako
 
je ni kidiver siatajua kwn c kuna kamshale kanatokea kwny screen au kuna njia nyingi ya kudivert?
 
Jitahidi uwe unaangalia call log, kuna simu zinaonesha hadi namba zilizotumiwa meseji, hz za meseji ndo zinakufaa, huku unakuta sms zote kafuta lkn hp unakuta majina yt, utaanzia hapo kujumlisha kugawanya kutoa na kila kitu
 
Back
Top Bottom