Msaada wa kiufundi tv aina ya LG 32LED

Access Denied

JF-Expert Member
Aug 10, 2012
655
209
Habari za weekend wana jamvi.
Naomba msaada wa kiufundi nina tv yangu aina ya LG led inch 32 (sio smart wala digital) inakata power ukiiwasha.
Tatizo lilianzia kwenye sauti miezi kadhaa imepita sauti ikawa inajikata muda mwingine inarudi but week kama 2 hivi sauti ikakata moja kwa moja na jana usiku hdmi port 1 ikakata nimejaribu kubadili hdmi cable tatizo bado lilelile. Now hata av port nazo hazionyeshi lakini pia tv inajikata power na kuzima na taa ya power in blink muda wote kitu ambacho si kawaida.
Naomba msaada wa mawazo na kiufundi niweze kutatua tatizo.
 
Back
Top Bottom