msaada wa kisheria kuhusu madai

Status
Not open for further replies.
Umenifumbua macho, naona haya ni majibu ya huyo niliyembold 7bu alikuja hapa jamvini na kulalamika kuna mtu amemkopa hela hataki kumrudishia.Hebu malizaneni bana

Mkuu umeona eeehhh naona kuna zaidi ya hicho jamaa anacholalamika hapa n a hakuna cha defamation na kuna personal issues zaidi ya hiyo
 
:-@EMT mkuu heshima mbele thhanx kwa msaada wa kisheria nimeyafanyia kazi mkuu nimeshamweleza lawyer yupo kwenye proces hope soon litakuwa sort out mkuu my hand are clean mkuu thats why nimeamua kwenda mbele mkuu i will give u feedback
 
Mkuu EMT ninavyoona hawa watu wanafahamiana na there is a personal issue between the two. Inawezekana pia kuwa kuna madai au hakuna madai na wanachafuliana. Maana kila anachojibu jamaa kuna mtu hapa anaitwa Mary Glory anamjibu kuwa anamdai na personal issues nyingine. Naona kwanza jamaa angekuwa wazi kuwa hadaiwi na hakuna issue between the two bdo utoe msaada kisheria maana naona kama unajitahidi kutoa msaada kisheria wakati it seems there is a hidden agenda

Mkuu nikutoe wasiwasi sifahamiani na maryY glory na nakamatunafahamiana akuna jinsi ningeleta jukwaani ila mm sidaiwi na niliyemwelezea mkuu wala sina hidden agenda nilitaka msaada wa kisheria na nimepata thanx kwa EMT na wengine
 
  • Thanks
Reactions: EMT
:-@EMT mkuu heshima mbele thhanx kwa msaada wa kisheria nimeyafanyia kazi mkuu nimeshamweleza lawyer yupo kwenye proces hope soon litakuwa sort out mkuu my hand are clean mkuu thats why nimeamua kwenda mbele mkuu i will give u feedback
nafarijika kwamba anayehukumu kwa haki ni mungu tu.hata ujisafishe vipi mbele ya watu kwa mungu is not so.najua haki yaki ipo na mungu mwenye pumzi yangu na yako anamjua mwenye haki ni nani kati yangu me na wewe.huwezi kumhonga mungu atatenda haki tu.na najua hata hayo unayotaka kuyafanya halitafanikiwa hata moja coz mungu yupo mtetezi wa wanaoonewa.we mwenyewe ni shahidi wa yanayotokea maishani mwako sasa ivi.ujira wa maovu ni hapahapa duniani.hakuna aliyedhulumu akafanikiwa especially anayejiita eti anamjua mungu it is impossible.
 
Mkuu umeona eeehhh naona kuna zaidi ya hicho jamaa anacholalamika hapa n a hakuna cha defamation na kuna personal issues zaidi ya hiyo

issue yangu ni tofauti na ucshangae uku jamvini watu kujibu any how mkuu
 
Mkuu EMT ninavyoona hawa watu wanafahamiana na there is a personal issue between the two. Inawezekana pia kuwa kuna madai au hakuna madai na wanachafuliana. Maana kila anachojibu jamaa kuna mtu hapa anaitwa Mary Glory anamjibu kuwa anamdai na personal issues nyingine. Naona kwanza jamaa angekuwa wazi kuwa hadaiwi na hakuna issue between the two bdo utoe msaada kisheria maana naona kama unajitahidi kutoa msaada kisheria wakati it seems there is a hidden agenda

Mkuu ndio maana kwenye post yangu nilisema wakatati anafanya haya ahakikisha mikono yake ni misafi pia. Whoever come to equity must come with clean hands.
 
mkuu ushahidi upo wa kutosha kabisa nimemrecord nina sms zaidi ya 600 na rb ninazo zamatukio mbalimbali nimempa warning ackii nipo kwenye proces ya kumwona lawyer ili nidai compasation kwa kunichafulia jina langu
Hujaenda tu kwa huyo lawyer?nayeye ana akili ati atajua kabsa ukweli na haki ni ya nani.just omba msamaha nafssi yako ikae kwa amani
 
Mkuu mnaishi eneo moja. Ingekuwa vizuri ukamshirikisha mkuu wa kitongoji pia kujaribu kusuluhisha.

Otherwise, Mkuu mwandikie formal letter. Ziko sample letters kwenye Google kibao kama hii niliyomodify.

Dear X

Re: INTENTION TO TAKE LEGAL ACTION

For long time [specify the period], you have been spreading disparaging remarks about about me. The remarks are[list them]..............

Msaidie pia na sample ya kiswahili...si unajua tena kikoloni hiki si chetu?
 
Sasa kwa sabb the accused and complainant wote wapo jamvini mi naona kila moja atoe maelezo yake halafu tuyamalize hapahapa,sio mpaka kuburuzana mahakamani,naona wote wana motive,very interesting.
 
Hujaenda tu kwa huyo lawyer?nayeye ana akili ati atajua kabsa ukweli na haki ni ya nani.just omba msamaha nafssi yako ikae kwa amani

Ukiconnect dot to dot hawa watu wanafahamiana na nadhani ndio wanaodaina.Kwa majibu haya hebu malizaneni kuliko kuleta malumbano hapa jamvini
 
Kuna tatizo kubwa sana la hawa wenzetu kati ya drphone na Mary Glory, nawashauri mumtafute mtu mwenye hekima awasuluhishe mambo ya kuanika mambo yenu hapa JF sio vizuri mtaishia kutukanana na kuchafulina majina yetu.Tafadhari jamani hebu yamalizeni ki utu uzima

Ikishindikana wekeni hadharani kipi kinachowasibu watu wachangie.
 
mkuu ushahidi upo wa kutosha kabisa nimemrecord nina sms zaidi ya 600 na rb ninazo zamatukio mbalimbali nimempa warning ackii nipo kwenye proces ya kumwona lawyer ili nidai compasation kwa kunichafulia jina langu

Yaani kama una sms 600 wala usimcheleweshe. We mpeleke tu mahakamani. Hizo RB hazisaidii kwa kuwa hili siyo kosa la jinai. Wape wanasheria haki ya kwenda kukudaia mahakamani compensation. I wish ningekuwa ni mimi ningemdai mpaka akome but bahati mbaya wanasheria haturuhusiwi kujipigia debe ndio maana hata avatar zetu ziko different.
 
Thanx.kwa sasa naangalia navyoweza kurecover my money,hayo mambo mngine just wait

MaryGlory,
Recovery of the money is possible. Just find a good lawyer akupe advice. Ingawa unayemdai ni mumeo lakini haizuii nyie pia kuwa na biashara kati yenu. Ur partners. Na katika hili mumeo anakuwa partner wako katika biashara ya ukopeshanaji. Kama anakiri unamdai huo ni ushahidi tosha. Mahakama itatake judicial notice of the fact that loan was part of an oral contract.
 
Mume anaweza ku-admit na kusema pamoja na kuwa ulikuwa mkopo it was a domestic arrangement. It was not a business arrangement. In others words, there was no intention to create legal relations. Then, mdai itabidi aprove that there was such intention. Nafikiri issue hapa sio kwamba kuna au hakuna mkopo. Issue ni was there an intention to create legal relations by both parties?
 
Wakuu heshima mbele jamani nisaidieni nifanyeje m2 anapokupakazia anakudai anapita kwa marafiki ndugu na wote wanaokujua ana kielelezo chochote akiambiwa mpeleke polic ataki mkikutana 2 anakwambia nitakuabisha mpaka ujute naitaji kukomesha hii hali mana utani utani imeanzakuwa kero

Wakuu naomba ufafanuzi kama mna uhusiano wowote. I mean kama nyie ni mdai na mdaiwa. Mary Glory ulishaomba ushauri huko nyuma juu ya mtu unayemdai. Ninaomba muwe wazi hapa kwa sababu naona kama vile mnatufanya tuende tofauti na sheria. Kuna kitu tunaitwa conflict of interests. Kisheria hatuwezi kutoa ushauri kwa mdai na mdaiwa on the same problem. Hairuhusiwi. Japokuwa hii ni forum tuu, I follow and believe on ethics. Naomba mnieleze mapema, ili nifute posts zangu kwenye hii thread na ile aliyoanziswa na Marry Glory.
 
Yeye ameanzisha hii thread baada ya mimi kuomba ushauri wa kisheria kuhusu madai.infact ni kama kulipiza kwa vile mm nimeomba ushauri hapa jamvini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom