Msaada wa kisheria!!erolink staffs kwenye vituo vyao vya kazi wananyanyasika

kwa zaidi mwezi huu wa nne erolink inaingiza vibarua zaidi 200 pale nbc!!staff wa erolink wanapewa vitengo nyeti sana pale benki ya biashara ya taifa na kuna mkono wa mafuru mkurugenzi aliendoka madarakani kwa aibu na kashfa na ndie alieruhusu outsource katika mali ya Tanzania..me ndhani wafanyakazi wa erolink waandae movement wajiunge na vyama vya wafanyakazi na wagome..

Gharama za maisha zinapanda mishahara ya wafanyakazi wa nbc inapanda na marupurupu yanapanda ila erolink posho yao imedumaa palepale.
dharau zinawazidia na kuwaelemea zaidi ya utu wao..
KUNA KILA SABABU YA KUJIORGANISE NA KUPAMABANA NA EROLINK NA NBC:nono:
 
Nyie vijana wa EROLINK nimewapa ushauri wa bure kabisa wa kisheria lakini mnavichwa vigumu kuelewa sijui ata kazi zenu hapo NBC mnazifanyaje....ni hivi nyie sio wafanyakazi wa NBC na hamna mkataba wa ajira na NBC nyie ni wafanyakazi wa EROLINK na mna mikataba ya muda na EROLINK wa kumdai hayo mnayoyataka ni EROLINK na wala si NBC kwa mojibu wa sheria zetu za kazi.
 
Uliza EROLINK ni ya Kigogo nani ndiyo utajua itaendelea kuonea wadogo zetu bila kuguswa hata kisheria. NBC na Vodacom sasa wanapata mtelemko wa vibarua na kuwafanyisha kazi nyeti kwa malipo kiduchu. laana hii EROLINK watajuta Mungu akiwarudia
 
Kwani kuna shida gani ukiona unanyanyasika na kazi ngumu ujira uache na utafute kazi ingine?watanzania tuna shida sehemu,dunia imeshaamua kuwa outsourced ndio suluhisho lao!kama wanaona wananyanyaswa,watafute sehemu ingine!
 
Watanzania tulio wengi tuna roho za kibinafsi,mtu akiangaika akafanikiwa toka kwenye shida hataki ama hawezi kusemea wengine wenye matatizo.Hii si roho ya kizalendo,taifa halitapiga hatua kamwe kwa kuwa na watu wenye roho na mitazamo ya namna hii.
 
Back
Top Bottom