Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 3,839
- 3,084
Soma contract yako na bank...Kisheria benki wana uwezo wa kuja kuichukua badae. Sasa kama wewe umeitumia...watachukua yakwako! That is the law at least of where i reside!
Mtoto ushauri wako ni wa busara....
Papizo, sawa inaonekana watu wengi hapa wanata wewe ukwibe hizo fedha... lakini maana yake ni kuvunja sheria (soma contract)
Sasa mfano hiyo hela ingekuwa imetolewa kwako imeingia kwa mtu mwingine au wewe ulikuwa unatuma kimakosa ukakosea account number ukatuma kwa mtu mwingine, ukaambiwa jamaa aliyewekewa kakwiba ungejisikiaje?
Kwa mantiki haya UFISADI sijui kama tutaweza kuupiga vita... inaonekana imani imekwisha kabisa....
Mimi niungewaambia bankers wakazitoa.
Kumbuka wanasema ukipata kisicho halali , kitaondoka tu kwa namna hiyo hiyo, hutafanyia jambo la maana, au na wewe utakuja kupoteza hivyo hivyo, bora usipoteze heshima yako.. wataarifu warudishe , kuwa mwaminifu....