Msaada wa haraka wa jamani niko njia panda!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Karibia kila siku ninapokuwa nimelala usiku wa manane kama saa tisa hiv nasikia kitu/ mtu anakula mifupa ndan ya chumba nilicholala kwa woga naogopa kuamka ili nione ni nini? Tafadhali nisaidieni tena siku sinavyosonga ninanyongwa na kupigwa mateke usiku kama tena nimeota chumba changu kina maiti anayeongea mara yule maiti akaanza kunipiga na ****** kama wachawi wanavyogonga mlango! Nimechoka kabisa kwa mana sina furaha hata kitu cha furaha kikijitokeza huwa najisemea moyon lait watu wangejua ni nin kiko ndan yangu! Ingekuwa afadhali
 
We nawe umezidi uoga sio panya kweli huyo........ Hakikisha huachi mabaki ya chakula cha usiku ndani ya nyumba yako na vyombo uwe unaosha usiku
 
We nawe umezidi uoga sio panya kweli huyo........ Hakikisha huachi mabaki ya chakula cha usiku ndani ya nyumba yako na vyombo uwe unaosha usiku[/QU ndan kwangu hakupikwi hata siku moja na panya hamna ndan kwangu na hii kitu si mara ya kwanza huwa inatokea mara kwa mara
 
hao watakuwa panya.pia unapolala usizime taa, ili ujipunguzie uoga, na ukisikia anatafuna amka uangalie, jiamini na umuamini mungu wako huwezi kudhurika kirahisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom