Msaada wa haraka! Fungua hapa.

hamic mussa

JF-Expert Member
May 1, 2012
227
19
hv jmn hizi combi za 4m 4 Mi ht czelewi. Mf m2 ukipt 'F' ktk maths na bios n then mwsho wa cku ukawa na 3 ya 24. Je unaweza ukapigwa penati? Nisaidieni
 
kaulize mwalimu aliyekufundisha km kweli ulihitimu f4:smile-big::smile-big:
 
hv jmn hizi combi za 4m 4 Mi ht czelewi. Mf m2 ukipt 'F' ktk maths na bios n then mwsho wa cku ukawa na 3 ya 24. Je unaweza ukapigwa penati? Nisaidieni

Unataka msaada, andika kama uliingia darasani. Wengi wanaoweza kukusaidia humu ndani watakudharau kuwa husaidiki kwa lugha yako hii!!!! Mimi nikiwa mmoja wapo.
 
Hivi mnavyoandika, tena wakati unatafuta msaada, maana yake nini? Hii lugha itawakosesha mengi. Jamvi hili lina watu wanaotathmini na kuchambua hoja. Sasa huu ujinga sio mahalipake.
 
dah! Sijui hata nisemaje tatizo wengine tushazoea kuchat facebook nd'o maana tumeharibika kwa lugha hizi. Nsaidie kama unaweza?
 
kweli nimekosea lakini ntajifunza kuandika vizuri.
 
dah! Sijui hata nisemaje tatizo wengine tushazoea kuchat facebook nd'o maana tumeharibika kwa lugha hizi. Nsaidie kama unaweza?

Hapa sio Fb, kama vipi rudi kwanza Fb ukaulize namna nzuri ya uandishi kwa mataahira wenzako.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
dah! Yaani kukosea kwangu umeamua uniite tahira. Sawa bana we una akili timamu mungu kakujalia ila tambua kila binadamu anakosea.
 
anachapwa penalt kwenda division inayofata i.e 4 ya mwisho!

Acha uongo!! Kama hukupita shule tuache tulopita tumsaidie..penalty ipo kama tu una division 1 ama 2..ukipata division 3 hapo haupigwi penalty tena hata kama ukipata f ya maths na civics!!
 
Penalt anapigwa aliyepata div I na II anavutwa mpaka div III. Sasa kama umepata III upigwe penalt kwenda ngapi? Ukipata III inabaki kuwa III hata kama una F ya kiswahili.
 
hv jmn hizi combi za 4m 4 Mi ht czelewi. Mf m2 ukipt 'F' ktk maths na bios n then mwsho wa cku ukawa na 3 ya 24. Je unaweza ukapigwa penati? Nisaidieni

Mkuu naomba uedit hii thread yako. asante sana.
 
Back
Top Bottom