simba road
Member
- Dec 29, 2015
- 63
- 63
Wakuu kwema,
Kuna Toyota Runx nimenunua mkononi yapata mwezi mmoja sasa. Ila ulaji wake wa mafuta unanitisha sana.
First time nimeweka mafuta full tank, ila baada ya km 143 tank likafika nusu kasoro bar 2 nikajazia lita 20 ili iwe full.
Second time nimeenda km 192 tank likaenda bar moja chini ya half tank, kujaza tena ili iwe full tank nimeweka lita 30.
Mara ya kwanza nilikua natumia full AC mara ya pili AC nilikua natumia occasionally kutokana na hizi mvua.
Ukiangalia haraka ni kama 6.5-7km/l hata kama ni hizi foleni za Dar mbona huu ulaji naona unatisha? Natoka tabata to mjini around km 13/14 kwenda na kurudi asubuhi na jioni.
Important details ninazokumbuka;
1. Ina km 180904
2. cc1490
3. Oil nikibadili baada ya kununua (20w-50), muuzaji aliniambia ninunue hii kwa sababu engine ina zaidi ya km 150k
4. Nilibadili plugs zote 4 ila sikuangalia specifications ( jumla ilikua 60k)
Please msaada, nifanye nini iwe na ulaji angalau 12km/L kwa hizi foleni za Dar. Kama kuna mtu anaweza ku recommend garage/fundi mzuri wa hili tatizo msaada please.