Msaada wa aina ya Genereta ya kununua

Future Bishop

Member
Dec 4, 2009
75
15
Kutokana na mgawo wa umeme uliotangazwa na hali halisi inavyoendelea, nalazimika kununua genereta kwa ajili ya biashara ya internet cafe na secretarial services niliyonayo Arusha.

Vifaa nilivyonavyo vinavyohitaji umeme

1. Photocopy machine Canon IR 1018
2. Computer desktop 5 na 1 laptop moja
3. Printer laser P1005
4. Scanner
5. D-link kwa ajili ya network
5. Kila computer ina UPS


Naomba msaada wa mawazo juu ya aina gani ya Genereta na yenye nguvu kiasi gani ya kununua itakayokidhi mahitaji yangu hapo juu.

Kwa wanaofahamu bei zake especially kwa Arusha nitafurahi kujulishwa.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom