Msaada: Vyeti vya nje na equivalent

Farmer82

Senior Member
Sep 15, 2013
183
39
Wadau naombeni msaada wenu,mimi nimesoma nje nchini Uingereza elimu yangu ya kuunga unga nikapata foundation degree in business management,ambapo ningekua na nguvu ya kuendelea kusoma kule ninge top up a final year ya bachelor!ila nimerudi hapa nyumbani nimejaribu kutafuta kazi nimekosa,na sasa nimejaribu ku apply st augustine uni ili nisome angalau diploma ya procurement ila wameniambia hawawezi kunikubalia mpaka vifanyiwe equivalent na elimu yetu,sasa naomba kujua kwa mwenye kujua,je equivalent hiyo nitaweza kuifanyia wapi?asanteni wadau
 
Nenda na vyeti vyako vyote pale baraza la mitihani necta.. Utaelekezwa kila kitu na utalipia elfu 20 kwa kila cheti.
 
Nadhani kwa elimu ya juu unatakiwa uende either TCU au NACTE wao ndio wana deal na higher learning!
 
Back
Top Bottom