Msaada: video editing software kwa kujifunzia

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
7,621
16,373
Habarini wakuu...
Natafuta software ya kuedit video. Nimejaribu kutumia wax, Windows movie maker lakini zinasumbua kusave na kufungua baadhi ya format za video.
Naomba mnisaidie software ambayo itakuwa rahisi kwangu beginner katika kunipatia uzoefu.

Natanguliza shukrani.
 
For simple editing wondershare video edit is maverlous
 
Hakuna free in nature. Kama hutaweza nunua download cracked. Hizo free au Open Source hazitkupa uhuru wa kuedit video.
 
Kuna pinacle, adobe premier, sony vegas, magix na wengine lakini Wondershare video ni simple, fast na ni program ndogo sana kwa wanaotaka simple editing
 
Back
Top Bottom