Msaada;VGA zinatakiwa.

mbongombishi

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
588
291
Habari wakuu,poleni na majukumu.
Nina shida na VGA (Video Graphic Arrays) za kutoka kwenye Laptop/PC kwenda kwenye Flat Screen/TV.
Ziwe VGA - out to HDMI - in,VGA - out to VGA - in.
Naweza kuzipata wapi hizo cable kwa Dar?
Natanguliza shukurani sana na wote mubarikiwe.
 
Vga to vga unaipata karibia duka lolote la computer lililo karibu na wewe.

Kuwa makini vga kwenda Hdmi kuna active na passive adapter.

Passive adapter yenyewe ni waya tu zimeunganishwa haina uwezo wa ku convert digital signal kwenda analog na vice versa. Nunua hii cable ukiwa na uhakika kifaa chako kinauwezo wa kufanya hii conversion. Kwa situation yako ni vyema ukaziepuka hizi cable. Mfano wake ni hii picha.
513M4APZWSL._AC_SY400_.jpg

Active adapter hii ndio unatakiwa kuitafuta yenyewe nayo itakuwa ya aina mbili
1. Inayoconvert analog signal kwenda digital signal hii upande utakuwa na vga na upande utakuwa na hdmi, sema upande wa HDMI ndio utakuwa mkubwa na utaona kama kibox ambacho ndio ndani kuna chip inayo convert. Angalia hii picha.
623d7207e3.jpg.500x500.jpg

Kwa situation yako sababu laptop ina vga tafuta hii, signal zako ni analog.

2. Inayo convert digital kwenda analog incase laptop ina hdmi ama Dp na monitor ina vga. Hii upande wa hdmi utakuwa waya wa kawaida na kwenye vga ndio kuna box kama inavyoonekana kwenye picha.
413H%2B3L%2BeDL._AC_SY400_.jpg

Kwa situation yako huu uepuke.

Mahala pa kuzipata kwa ambazo ni za kichina ama mtumba zinapatikana kirahisi msimbazi na uhuru kama unaenda msimbazi na congo bei around 15,000

Na branded zenye quality nzuri angalia epic computers city mall, kvd makunganya, capricon morogro road mjini etc. Sema branded ni ghali andaa around 25,000 mpaka 100,000 hivi.
 
Mungu akubari sana mkuu.
Pia kuna uzi wa Control kuhusu internet,uliongelea kuhusu simu nzuri za kuweza kupata unlimited internet speed kubwa. Nikaona suggestions zako,tafadhali mojawapo ya flagship ulizoziongelea naweza pata wapi za bei rahisi?
 
Mkuu aliexpress ni sehemu unazipata kwa bei rahisi online ila hata kwetu zinapatikana ila mkononi.

Htc U11 pengine ndio simu ya kisasa zaidi kwa bei nafuu kwa sasa kwa around 350k unapata simu yenye Gigabilt Lte, compability ya band zote za Tanzania, water resistant, ram na storage za kutosha, usb 3.1 etc kifupi ni equivalent ya galaxy s8.

Ila inakuja na weakness pia, htc ni kama hawapo tena sokoni usitegemee update yoyote na pia ikiharibika upatikanaji wa spea ni mgumu.

Ila kama ni mtu unaye elewa simu kidogo na unainunua sana sana kama source ya internet ni bonge la simu kwa hio bei.
 
Akhsante sana mkuu Chief-Mkwawa. Tafadhali naomba unisaidie nipate hiyo simu.
Mungu akubariki sana.

Back
Top Bottom