Msaada: udhamini vipimo/ matibabu

Toto mol

JF-Expert Member
Oct 18, 2022
2,556
3,802
Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA,

Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna Kuna,

Pia maumivu ya mgongo nakuwa nayaskia sana yani katikati ya mgongo, Sasa nilikuwa naomba udhamini au msaada wa kupata mtu anisimamie kwenye vipimo, labda ultrasound tumboni na dawa ugonjwa ukipatikana,

Siitaji ata mia yake mi nipate vipimo tu vyovyote vile vikiitajika view vikubwa au vidogo , Asanteni sana🙏

 
Back
Top Bottom