Msaada tutani wapendwa

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,089
829
nina dogo amemaliza form six 2011 atokeo yametoka amefaulu pcm division 1.5 sasa anaomba ushuri yeye anapenda kusoma telecoms eng. Mimi ningependa asome electrical engineer kwa sababu chahe nilizonazo kwanza ni flexiblity ya electrical engineering kimtazamo wa kwangu telecom imesaturate kwenye job market naomba msaada wa mawazo wadau mchango wako ni muhimu kwani wengi wetu tunaenda vyuoni kwa mob influence
 
telecom hapana sasa mambo ya analog yanatokomea soon hata hapo tz by 2012-2015 itakuwa ni digital kwenda mbele(ref: tido). hiyo field labda akipata chance china,japan asome artificial intelligence: neuro networks,nano tech etc ndio zitabamba lkn hiyo akimaliza tu 4th yr atarudi mtaani, wako wapi mafundi wa ttcl
umeme ni principles tu ipo na itaendelea kuwepo haikwepeki, afanye umeme
 
thanks mkuu kwa ushauri
 
Mwambie aende Bsc in Computer Science.
asante mkuu mawazo yako ni muhimu maaana wadogo zetu wako dilemma sana linapokuja suala la kuchagua kozi .
halafu ingekuwa vyema ungenipa na uwanja wa computer science baadaye
 
telecom hapana sasa mambo ya analog yanatokomea soon hata hapo tz by 2012-2015 itakuwa ni digital kwenda mbele(ref: tido). hiyo field labda akipata chance china,japan asome artificial intelligence: neuro networks,nano tech etc ndio zitabamba lkn hiyo akimaliza tu 4th yr atarudi mtaani, wako wapi mafundi wa ttcl
umeme ni principles tu ipo na itaendelea kuwepo haikwepeki, afanye umeme
mkuu wadogo zetu wanakuwa dilemma sana na uchaguzi wa kozi za kusoma vyuoni . umenipa mwanga sana wa kumshauri huyu bwana mdogo .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom