msaada:the disk is write protected

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
habari wanaukumbi
Nina flash ya ukubwa wa 4gb,ambayo kwa sasa imegoma kudelete file lolote lililondani yake wala kuingiza chochote.Nikijaribu kuiformat inakataa na kutoa ujumbe huu,the disk is write protected.Naomba msaada wenu wataalamu
 
yaani hiyo weka kwenye dustbin ,nilikuwa nayo ikawa na tabia hizo niliangaika mpaka nikashindwa.nilipata mawazo tofauti humu jf lakini haikusaidia.
 
Back
Top Bottom