Black ma colour
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 733
- 661
habar wanajanvi.
simu yangu ya tecno M5 inamatatzo yafuatayo.
1. mtu akinipigia au nikimpgia nikianza kumrekodi
tu simu inakata yenyewe.
2. nikipiga vidéo call simu inakata then inaniandikia
no sim card.
3. betry inawah kuisha although nimefanya settings.
I hope linaweza kuwa tatzo la cmu au mimi kutokujua , naombeni msaada wenu.
good morning.
c.c chief mkwawa.
AFRICA