Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,040
Salam Wadau!
Naomba msaada jinsi ya ku-unlock password kwenye Memory Card ya simu. Niliipoteza ikiwa na password na sasa nimefanikiwa kuipata tena ila nimeshindwa kukumbuka password yake. Nasubiri kwa taadhima!