Msaada: Taarifa za NIDA ninazoweka naambiwa sio sahihi

Exformer

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
837
946
Wanajamvi kweny hili sakata la kujaza maombi ya hizi nafasi zilizotangazwa na TAMISEMI.

Ninatengeneza account lakin taarifa za NIN napoweka naambiwa sio sahihi ama majibu yangu sio Sahihi.

Je, kuna namba ya kupata taarifa za NIDA kwenye mtandao? Au nyie mnafanya vipi?

Msaada.
 
Wanajamvi kweny hili sakata la kujaza maombi ya hizi nafasi zilizotangazwa na TAMISEMI
Ninatengeneza account lakin taarifa za NIN napoweka naambiwa sio sahihi ama majibu yangu sio Sahihi.
Je, kuna namba ya kupata taarifa za NIDA kwenye mtandao?
Au nyie mnafanya vipi?
Msaada
Jitahidi kuwa na kumbu kumbu za taarifa ulizozojaza wakati unajaza form ya kuomba NIDA
 
Jaribu kuanza Kwa herufi kubwa Kila unapoandika jibu lako. Ukichemka jaribu herufi kubwa zote.
 
Unasahaulije taarifa zako za NIDA mkuu?

1. jina la mwisho la mama
2. Jina la kati la mama
3. Jina la shule uliyo maliza primary
4. Makazi ya kudumu
5. Namba ya simu ulio jaza kipindi unadiandikisha
6. Taja kata yako sehemu uliyo zaliwa,
7. Taja kata ya sehemu/ kituo ulipo jiandikisha
8. Jina la kwanza la mama.

Hapo ukijibu maswali manne tuhhh, umemaliza mchezo.
Kama hukumbuki hata moja hapo, funga safari mpaka ofisini kwao.
 
Nayakumbk yote sem nikiwek wanasem sjo sahihi
Then
Kwenye index number ya form 4/6 tunaipa format ipi maan pals wamesema tu CENTRE NUMBER
 
Nayakumbk yote sem nikiwek wanasem sjo sahihi
Then
Kwenye index number ya form 4/6 tunaipa format ipi maan pals wamesema tu CENTRE NUMBER
S/P ziwe herufi kubwa ikifuatiwa na namba ya shule kisha weka hii alama - alafu namba yako ya mtihani
S2445-67 AU P3434-876,
Usieke hii /
 
Unasahaulije taarifa zako za NIDA mkuu?

1. jina la mwisho la mama
2. Jina la kati la mama
3. Jina la shule uliyo maliza primary
4. Makazi ya kudumu
5. Namba ya simu ulio jaza kipindi unadiandikisha
6. Taja kata yako sehemu uliyo zaliwa,
7. Taja kata ya sehemu/ kituo ulipo jiandikisha
8. Jina la kwanza la mama.

Hapo ukijibu maswali manne tuhhh, umemaliza mchezo.
Kama hukumbuki hata moja hapo, funga safari mpaka ofisini kwao.
1 na 5 tu zinatosha!
 
Back
Top Bottom