Msaada: Siwezi kuprint form za kuappeal bodi ya mikopo

Rogie

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
7,581
6,675
Habarini za wakti GT, samahani naomba kupatiwa msaada katika hili, nimejaza fomu za kuappeal bodi ya mikopo lkn kila ninapojaribu kuprint hzo fomu inaload kidogo halafu inasimama na wala haileti hzo fomu nilizojaza. Kuna yyte ambaye amekutana na kitu km hii wakuu? tusaidiane

f6NoFI2iUTSKRtEgQaOVMoVBN7ChBwC1TFMq1UTrzgAAAABJRU5ErkJggg==
wPkTYXOQ5Of+AAAAABJRU5ErkJggg==
 
Waulize HelpDesks wa Heslb kuna namba zao. Ama nenda cafe utapat msaada zaidi humu si pahala pake. Kimsingi fanya hivyo pole sana ndugu.
 
Nahic unabidi uzidownload afu uziprint katika mfumo wa kawaida
 
Noana hizo ni mbinu tu bodi hawataki kumwona mtu akiomba mkopo kwa sasa
 
Waulize HelpDesks wa Heslb kuna namba zao. Ama nenda cafe utapat msaada zaidi humu si pahala pake. Kimsingi fanya hivyo pole sana ndugu.

hzo namba zao ukipiga simu inadrop tu....ishu co kuprint...kuna ile link waliyoweka ya kuprint packages ndio inatatiza..inaload afu inarudi palepale bila kuleta hzo fomu.
 
Back
Top Bottom