Msaada shule ya kidato cha tano na sita!

mzee wandimu

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
470
229
Heshima mbele wanabodi!
naomba kwayetote anaeweza kunisaidia/kunijulisha kupata shule ya kidato chatano kwa ajili ya mchepuo wa sayansi ninadogo anataka shule ya private! ana three ya 23, anataka PCM au PCB!
PCM ana C ,B,D na PCB ana C,B,C.
NOTE shule iwe ARUSHA au KILIMANJARO!
nawasilisha!
 
Back
Top Bottom