Msaada: Radio streaming

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Wadau hivi mimi huwa nasikiliza times fm kwenye pc yangu kwa streaming.....Hivi nauliza hivi kwa muda wa saa moja

inaweza kukata megabyte ngapi? natumia sasatel........

Na kwenye Huduma ya Blackberry naweza kuwa na radio streaming??
 
msaada wadau
 
Najua moja kwa ajili ya phones.fungua wapday.com then application
 
Back
Top Bottom