msaada program installation kwenye mini laptop

Timoso

Senior Member
May 27, 2012
135
23
wakuu nisaidieni, nawezaje kuinstall programs eg antivirus kwnye samsung mini laptop ambayo haina CD/DVD ROM?? shukrani
 
Tafuta mtu mwenye laptop au computer yenye CD/DVD ROM, then copy mafaili yote kutoka hiyo CD kwenda katika Flash Disk(USB Drive). Chomeka katika laptop yako tayari kwa installation.

kwa msaada zaidi ni PM kabla ya saa 11 jioni kwa muda wa Tanzania.
 
Tafuta mtu mwenye laptop au
computer yenye CD/DVD ROM, then copy mafaili yote kutoka hiyo CD kwenda
katika Flash Disk(USB Drive). Chomeka katika laptop yako tayari kwa
installation.

kwa msaada zaidi ni PM kabla ya saa 11 jioni kwa muda wa
Tanzania.

c inabidi capacity ya flash disc iwe kubwa sana??
 
c inabidi capacity ya flash disc iwe kubwa sana??

kama ni antivirus au application software nyingine km office suite, adobe suite huhitaji USB disk yenye capacity kubwa kivile, unless unataka kuinstall video games ambazo ndio huwa kubwa sana.

vile vile hata kama USB disk yako inacapacity ndogo unaweza hamisha mafile kwa awamu, muhimu mwisho wa siku mafaili yote yahame.
 
umesomeka mkuu.. Na kati ya laptop za kawaida na mini znatofauti gan kubwa? (technical)
 
Downlaod kutoka internet then install moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom