Msaada plz

Whitemariam

Member
May 1, 2012
10
3
Vp ajira za Bcom kwa sasa? Nina 2.12 EGM na ushauri wingine wa kozi nzuri kwa wenye uelewa na hii comb
nitashukuru sana
ansateni wote!
 
ukweli ni kwamba inaonekana kwamba kozi nyingi za biashara zimeshasaturate kitaa ila bado kuna uhitaji mkubwa sana watu katika nyanja zoote
ushauri wangu mimi binafsi kama unaweza unaweza omba kozi ARDHI UNIVERSITY kuna kozi nzuri sana kama BSC BUILDING ECONOMICS
BSC REAL ESTATE, BSC LAND VALUATION huku mambo ya mkopo wanaconsider na pia wigo wa ajira ni mkubwa kwani wataalamu wa nyaja hizi ni wachache kulinganisha kada zingine za biashara
BCOM ni kozi nzuri sana ila jiandae na changamoto za kitaa
anza kuwa na mawazo ya kujiari mapema sana itakusaidia sana mbele ya safari
 
ww kweli ni maganga mkweli, i lyk u, cku hzi vijana tunatakiwa tucfikirie sana kuajiriwa
 
ni ukweli usiofichika mkuu mtaani huku kuna changamoto nyingi hasa hili SUALA la ajira inabidi tuwaambie ukweli wadogo zetu mindset zao zianze kubadilika mapema na waende wakasome wakitambua hili halafu tena watilie mkazo masomo kama ENTERPRENUERSHIP maana hili somo linafundisha kila kozi siku hizi KUNA FURSA NYINGI SANA KWETU NI KUJIPANGA TU
 
Kasome agro-economics kule sua.bcom sishauri mtu aisee.
 
Back
Top Bottom