Msaada plz, account yangu ya email wame hack

mteule

Senior Member
Aug 2, 2007
149
252
Wakuu nisaidieni,
kuna mtu ame hack account yangu na ameanza kusambaza email za kipuuzi kwa kutumia address yangu.

Nimebadili password, na nimeweka filter kwa email zote zinazoingia. Je kuna namna nyingine ya kulinda account yangu ili ufedhuli huu usitokee tena?
 
Wakuu nisaidieni,
kuna mtu ame hack account yangu na ameanza kusambaza email za kipuuzi kwa kutumia address yangu.

Nimebadili password, na nimeweka filter kwa email zote zinazoingia. Je kuna namna nyingine ya kulinda account yangu ili ufedhuli huu usitokee tena?

unatumia e-mail gani?
 
wakuu na mimi nina tatizo kama hilo ila nilichokifanya hadi sasa ni kubadili tu password. Hiyo ya ku-filter ndo inafanywaje wakuu?
 
Tumia password nzuri i.e ndefu ambayo sio neno la kweli na ambayo ina mchanganyiko wa number na herufi at least. Pia tumia Anti-Virus nzuri na epuka kulogin kwenye compyuta ambazo haujui usalama wake ukoje. Filter haifanyi kitu.
 
1. aliyehack hiyo email ni wa tanzania au nje ya tz? (email anazosambaza ni za kiswahili?)
2. kama unashare computer uwe una delete browsing data baada ya kulogoff
3. watu wa internet cafe mara nyingi ndio mtindo wao huo, wewe ukiwa unatumia computer cafe jaribu kulogin halafu sign out then shutdown your computer na uiwashe tena then jaribu kuangalia tena kama bado status yako inaonesha umelogin, huu mtindo ndio huwa mimi nautumia na kuna siku nilitaka kupigana
kuna siku nilikuwa nachat na jamaa yeye alikuwa cafe tukaagana then akaondoka na kusignout lkn baada ya dk kama chache nikawa namuona online tena, hii ishu iliendelea mara nyingi sana mpk siku nilipokuja kumwambia
 
Back
Top Bottom