LARRYBWAY
Member
- Feb 21, 2012
- 82
- 5
Nina mwezi wa pili sasa unaenda, kila nikienda haja ndogo mkojo unatoka wa njano, nikisema ninywe maji mengi, mkojo unatoka mweupe kama kawaida, siku nisipokunywa maji au nikinywa maji kidogo mkojo unatoka wa njano na maumivu kwa mbali hivi huwa nasikia, nikaenda kupima gono na damu vyote vipo safi, doctor akaniambia sina tatizo lolote, sasa nimeona niwasilishe mjengoni ili niweze kupewa mawazo kama kuna mtu anafahamu tatizo hilo au dawa yake cz nahofia isijekuwa ni protest cancer inaanza taratibu.,..mnakaribishwa kwa ushauri