Msaada Please.......

Davies_007

Member
Apr 22, 2010
59
0
Jaman Naomba Msaada Wa Jambo Hili.

Kuna office ambayo ni kama HQ iko hapa Dar es salaam, then kuna Branch Mwanza na Arusha. shida yangu nataka branch za Mwanza na Arusha ziweze kuacces Database ambayo iko kwenye server ambayo iko Dar es salaam. sehemu hizo zote zina Intarnet. naomba tips maengeneering
 
Njia nzuri itakuwa ni kusetup VPN, so hapo HQ utakuwa na VPN Server kisha kwenye branches watakuwa na VPN clients ambao wataconnect. Itabidi upate public I.P kwenye server yako au utumie service kama no-ip.com ambayo itakuruhusu kutumia dynamic I.P.
 
Back
Top Bottom