Msaada Please: Simu yangu inakataa set up ya kutumia na kupokea e-mails

Jokia

Member
Feb 18, 2015
93
178
Habari,
Natumia Vodafone hizi za android ila kila nikijaribu kuset details za email kwenye App ya email, naletewa taarifa kuwa nmekosea email au password ilhal naingiza kwa usahihi. Naomba mwenye kufahamu napokosea au tatizo anisaidie pleasee.
 
Unatumia which mail provider
 
Back
Top Bottom