msaada..pc haiwaki

julisa

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
209
49
Naomba msaada wa kujua tatizo kwani jana nili-install kaspersky antiv..sasa leo naiwasha haiwaki mpk mwisho na inaishia ktk scren inayoonyesha start windows normally au from previous good setup etc..ukiclick yoyote kt ya hizo inaenda km inataka kuwaka halafu inarudi hapo hapo. Ni desktop ya hp
 
Jaribu kuiwasha kwenye safe mode ikikubali fanya restore ya siku zilizopita kabla hujaweka hiyo Antivirus,
 
fanya repair ya windows kwa kutumia setup disk ya os unayotumia, kama ni window vista au 7 anza recovery mode then restore system yako kwenye tarehe ya nyuma kabla ya tatizo kuanza
 
Naomba msaada wa kujua tatizo kwani jana nili-install kaspersky antiv..sasa leo naiwasha haiwaki mpk mwisho na inaishia ktk scren inayoonyesha start windows normally au from previous good setup etc..ukiclick yoyote kt ya hizo inaenda km inataka kuwaka halafu inarudi hapo hapo. Ni desktop ya hp

kama alivyo kwambia mdau wakati wa kuwaka press F8 chagua iwake kwa safemode ikishawaka unistall kaspersky itawaka tu
 
Naomba msaada wa kujua tatizo kwani jana nili-install kaspersky antiv..sasa leo naiwasha haiwaki mpk mwisho na inaishia ktk scren inayoonyesha start windows normally au from previous good setup etc..ukiclick yoyote kt ya hizo inaenda km inataka kuwaka halafu inarudi hapo hapo. Ni desktop ya hp

Kutoka na maelezo yako inaelekea computer yako ilikuwa na virus ambao walikuwa wamekaa hasa kwenye system files na registry. sasa baada ya wewe kuinstall antivirus antivirus iliscan your computer na kudetect virus hao, kuto critical damage ambayo virus hao wamefanya katiak system files zako antivirus hiyo ilishindwa kurepair hizo system files na badala yake ikabidi iondoe file zima. na ndio maana computer imekataa kuboot hadi mwisho nikiwa na maana kuwa kuna files za msingi ambazo zinaiwezesha computer hiyo kuwaka hazipo na soltuon ya hilo tatizo ni kuweka windows upya
 
unatakiwa ufanye new installation tu kwan inaonesha baadhi ya system files zitakuwa zimeliwa ndio maana haiwezi kuwaka.
 
Nashukuru sana kwa msaada wenu, nimejaribu njia zote mlizotoa hapo juu ili kuiwasha inakataa. Nadhani itabidi ni install tena windows kama mlivyoshauri. Je nitawezaje kuzuia files zangu zisipotee kwani zilikua ktk desktop?

NB: samahani sijajibu mapema nilikua safari na ni desktop ya watoto hapa nyumbani
 
Ili usipoteze files zako inakubidi ufanye backup kabla ya kuweka windows upya
 
Nashukuru sana kwa msaada wenu, nimejaribu njia zote mlizotoa hapo juu ili kuiwasha inakataa. Nadhani itabidi ni install tena windows kama mlivyoshauri. Je nitawezaje kuzuia files zangu zisipotee kwani zilikua ktk desktop?

NB: samahani sijajibu mapema nilikua safari na ni desktop ya watoto hapa nyumbani

install tu windows upya. But usiformat hard disk.ukiinstall new windows bila kuformat hard disk,all files za previous windows huwa zinaenda in a certain location.so ukishainstall upya windows, then hapa rudi au hata nipm nikuelekeze location ya kupata files of your previous windows.
 
Au pia unaweza ku run os kutokea kwenye cd mfano ubuntu hiyo itakupa access ya kukopi mafaili yako kabla hujaiformat hiyo kompyuta yako..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom