Msaada notes za Anatomy and Physiology II

Carl46

Member
Jun 10, 2014
16
0
habarini wana jf,
naomben msaada kwa yeyote alye na notes za anatomy two anitumie kwa email hio apo chini


asanten sana
 
snell anahusika(human anatomy) mh lakini sikuelewi physiology ya panya au mimea be specific bwana.
 
nenda kwa Dr urasa au pratap udsm wanazo nondo walitutesa sana na iyo koxi

hahahaaaaa. yaan umenikumbusha mengi sana na huyu dr urasa, sisi tulikuwa tukimwita mama mifupa aka occipital condly sikumbuki ndio mifupa ya wapi shingoni tena. ni sheeeedah
 
clicker una mkumbuka mama urasa ni hatari anapenda kupigisha vitu vingi sana na kozi ni unit mbili
 
hahahaaaaa. yaan umenikumbusha mengi sana na huyu dr urasa, sisi tulikuwa tukimwita mama mifupa aka occipital condly sikumbuki ndio mifupa ya wapi shingoni tena. ni sheeeedah

Sasa Mkuu hawa jamaa wanatufundisha vya nini kama hatuwezi kutana navyo tena maishani? Maana hii sahau yako inaonesha kabisa tangu ulivyomaliza hiyo kozi hujawahi kukutana navyo tena! Occipital condyle ni mifupa iliyopo kwanya kichwa sehemu inapoungia Atlas (mfupa Wa kwanza Wa uti Wa mgongo). Ila huyu mdau mnataka kumpoteza, maana anatomy mnayomwelekeza siyo ya level ya certificate (NTA 4) huko mnampeleka kwenye level 8!!
 
Back
Top Bottom