Msaada Nokia N97

Mchakatoh

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
302
39
Habari wanaJF simu yangu N97 ukiwasha inakata mawasiliano kati ya screen na keypad ambapo screen haidisplay signal yeyote wakati keypad inawaka...nadhan nitatzo la mkanda sijui ntaupataje na shiling ngapi? msaada jaman!
 
Back
Top Bottom