Msaada: Nini tofauti kati ya bachelor of science educatn and B.of science in education?

mmoja anaandaliwa kuwa mwalimu wa secondari (BSC with education) anakuwa na masomo mawili ya kufundisha na kozi chache sana za ualimu na mwingine mwalimu wa vyuo vya ualimu (BSC in education) anakuwa na somo moja la kufundisha na makozi kibao ya ualimu
 
vp kuhusu science education?
 
The same kwa sababu utakachokuwa unasoma ni masomo ya ualimu katika mwelekeo wa sayansi na si arts. ambapo utalazimika kuwa na somo moja la kufundisha ambalo ni la syayansi let say biology or chemistry or physics or math or.....
 
Wakuu vp hii inayoitwa barchelor of science in physics inawaandaa watu gan? Na ni zp sehemu unazoweza kuajiriwa ukiwa na hii barchelor au ndo kuishia ualim wa secondary?
 
Back
Top Bottom