Msaada: Nimewekewa "tego", jogoo anawika kwake tu

Salamu wa ndugu.

Naombeni ambae ameshawahi kupatwa na tatizo kama hili anisaidie. Yaani ni hivi kuna msichana ambae nilianzisha nae mahusiano toka mwezi wa kwanza mwaka huu now anamimba yangu ya mwezi mmoja.

Ila kila napokutana na msichana tofauti na yeye nashindwa kusimamisha kabisa nimefanya hivyo kwa wasichana wa tatu ila hali inakua vile vile ila nikirudi kwake nakuwa na nguvu zisizokuwa za kawaida yaani tunaweza fanya mapenzi usiku kucha.

Jana nilikuwa nataka nikaongee nae nimwambie ukweli ikiwezekana nimpige kibuti na mimba nimwambia aitoe ila kuna jamaa yangu kanambia nitulie kwanza tutafute suluhisho la hili tatizo.

Naombeni mnisaidie ndugu maana hapo nyuma sikuwa na tatizo kabisa yaani inaniuma nimebaki na mawazo lukuki. Ukizingatia kuna mdada mmoja tulie kuwa tumepanga nimuoe ila hiyo hali imenikuta kwake zaidi ya mara mbili hapa nilipo nimeshindwa cha kufanya.

Natanguliza shukrani
Piga nje ndani ile unataka kushusha usishushe chomoa vaa usiongee naye hata akikuongelesha ww sepa!
Hapo Umesha pona ukimrudia tena shauri yako!
Utanipa Tawire!
 
Acha ujinga kwanin usingempa mimba huyo ulitepanga kumuoa? Nyie ndioo waharibifu, namshauri huyo dada aongeze dawa isijeisha nguvu
 
Piga soap,piga mafuta,Piga puli bro.je inakubali?halafu wanaume tukiamka asubuhi mara nyingi huwa inasimama,je inasimama ukiwa mbali nae bila mwanamke mwingine?
 
Piga nje ndani ile unataka kushusha usishushe chomoa vaa usiongee naye hata akikuongelesha ww sepa!
Hapo Umesha pona ukimrudia tena shauri yako!
Utanipa Tawire!
shukran ndugu nitafanya hivyo japo ni ngumu kutokuongea nae
 
Watu wakipinga uhujumu wa K wanaonekana wametendwa ndo mana wanakuwa na msimamo huo. Badilikeni bwana sio kila siku tuchekee ujinga.
Ukweli napendekeza tego liongezwe nguvu sehemu ya siri ihame kabisa.
Mtoa mada najua unaugulia mtalimbo kutosimama dede ila pambana na hali yako sikukutuma uonjeonje asali wakati una mzinga wako home
 
Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru ujinga wake.

Hayo hayamkuti mnyama, wafuate wataalamu na uache kuwa Dungadunga

-mwisho wa kunukuu-
 
Watu wakipinga uhujumu wa K wanaonekana wametendwa ndo mana wanakuwa na msimamo huo. Badilikeni bwana sio kila siku tuchekee ujinga.
Ukweli napendekeza tego liongezwe nguvu sehemu ya siri ihame kabisa.
Mtoa mada najua unaugulia mtalimbo kutosimama dede ila pambana na hali yako sikukutuma uonjeonje asali wakati una mzinga wako home

Mkuu punguza jazba,, ndugu yetu asaidike...

Kutokwenda mnara ni adhabu kali sana, haiendani na kosa lake.... mbona hujamzingumzia Binti mwenzio aliyekitoa huku akijua kina mwenyewe.
 
Hehehe dada wa watu katongozwa naye. Huyu me asingetongoza walaaa asingefwatwa
 
Back
Top Bottom