pablo escober
Member
- Jun 12, 2013
- 81
- 3
Nimeibiwa laptop pale ofisini kwetu, Je! Kuna jinsi ya kuweza kuitrack iliko?
Sio rahisi kuipata pole yako.nimeibiwa laptop pale ofisini kwetu je kuna jinsi ya kuweza kuitrack iliko?
Kama uliweka system password laptop itakuwa unaccessible hardisk na mboard ni screen pekee na battery ndio atabaki nayo na pia kama ni dell unaweza kuitrack kama uliandika service tag yake
Sio rahisi kuipata pole yako.
hivi nikienda Vodacom na namba ambayo nilikua natumia Kwenye modem wakati wa kuingia internet wanaweza kunipatia ip adress ya computer iliyopotea then tukajua nani anaitumia hiyo computer na namba ya simu ya hiyo laini anayotumia kuingilia internet..vp hii idea itafanikiwa kweli
Wakupatie IP adress ya computer iliopotea?
Unaelewa vizuri maana au walau matumizi ya IP adress?
zaidi Vodacom watakuomba Police form ambayo mpaka uipate kwa hii Corrupt police force sijui...
Na mabacho Vodacom wataweza kufanya ni ku block labda hiyo modem kwa IMEI wakati wewe ume target upate PC...
kwa kifupi nakuomba upote hizi ndoto na anza ku plan jinsi ya kununua nyingine maana Tanzania tu kukamata simu ni issue sembuse laptop...
Haiwezekani mkubwa[/QUO
haya kaka nimekuelewa
Mfano wa hizo laptop pleasenext time nunua laptop yenye processor ya kisasa za intel zenye technology ya vpro, then lipia huduma ya intel ya ant theft, hapo utakuwa umekomesha wizi sababu kila processor inakuwa unique hazifanani hivyo wao intel wanazitambua hata mwizi akimbilie wapi utaipata. bei ni around dola 30 kwa mwaka ila zinapatikana za chini ya hapo.
Mfano wa hizo laptop please
Mfano wa hizo laptop please
hivi nikienda Vodacom na namba ambayo nilikua natumia Kwenye modem wakati wa kuingia internet wanaweza kunipatia ip adress ya computer iliyopotea then tukajua nani anaitumia hiyo computer na namba ya simu ya hiyo laini anayotumia kuingilia internet..vp hii idea itafanikiwa kweli